Awesu na kmc hawasalimiani

 

Anaitwa Awesu Ally Awesu ,

Aliamua kununua mkataba wake wa mwaka mmoja na kmc na kutimkia zake Simba SC kutimiza ndoto zake za kuchezea timu ya simba lakini viongozi wa kmc walitia ngumu kumuachia mchezaji huyu kwa kile kilichodaiwa kutofuata utaratibu 


Comments